Wahenga walisema "Mavi ya kale hayanuki" Lets ask ourselves three crucial questions:
Sio mimi ni wahenga na kasheshe zao!!!!
- Hawa wahenga hawakuwa na kazi ya kufanya ndio waanze kunusa mavi ya watu?
- Kwani huyu "Kale" alikuwa akila nini ndio mavi yake yanuke?
- Walikuwa wamenusa ngapi ndio wafikie ya "kale"
Sio mimi ni wahenga na kasheshe zao!!!!